Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
Hino das Ilhas Feroé
Hino das Ilhas Feroé
Hino do Sudão
Hino do Sudão
Hino de Portugal - A Portuguesa
Hino de Portugal - A Portuguesa
Hino da Tailândia
Hino da Tailândia
Hino do Taiwan
Hino do Taiwan
Hino da Frísia
Hino da Venezuela
Hino das Filipinas
Hino da Frísia
Hino das Filipinas
Hino da Venezuela
Himno Nacional Argentino
Himno Nacional Argentino
Hino da Hungria
Hino de Seychelles